Hakika, Kombe la Shirikisho barani Afrika mwaka huu halina viwango

[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Ahhhhahaha
 
Umehesabu idadi ya mechi vs walio juu yake?[emoji28][emoji28][emoji28] huyo ananafasi ya kusogea mbele sana
Kwa kutumia nadharia yako, basi hata Gallants anaweza kusogea kwasababu ana mechi mkononi na pia ligi yao haijaisha. Ila kwavile mmetumia msimamo ulivyo kwasasa basi timu zote mbili (Kabylie na Gallants) zipo kwenye nafasi ya kushuka daraja.
 
Mpe mechi 4 sawa na point 12 halafu ongeza hapo ziwe mechi 21 anakuwa na points 26 😅😅😅anaruka hadi top 10
 
huku tunachukua kombe hatutakagi mambo za robo sisi,sasa tukishabeba sio wewe tena ni CAF ndo wanaojua watuweke wapi kwenye rank zao nyuma ya al ahly au top...WE UTABAKI HAPO NA ROBO YAKO MPK JUDGMENT DAY
Unadhanai hizo rank wanagawa km wali wa msibani.

Kombe mtakalochukua utopolo labda kombe la Avic town.
 
denooJ,
Umekuwaje siku hizi.? Mbona hoja zimekuwa nyepesi sana kiasi unaleta wasiwasi wa afya ya akili.
Kwani mpira unapimwa hivyo?
Kwani mpira unapimwaje? kwamba kwako wa mwisho hapa kuwa wa kwanza pale ni sawa tu? Hapana, mimi hilo sikubaliani nalo, hiyo ni dalili ya udhaifu kwa wale wanaoongozwa.
 
Na ndiyo Maana hata wenyewe huwasikii wakiongelea ubora wa timu zilizopo huko .
Utawasikia wakiongelea ubora wa Raja , Wydad , Mamelod na aly ahly zilizopo klabu bingwa
Wanaona aibu basi tu wafanyeje masikini!.

Huwezi kila siku unajisifu una kikosi bora huku unashiriki kombe la watoto, huo ubora wa kikosi chako utaupimaje?
 
Mpe mechi 4 sawa na point 12 halafu ongeza hapo ziwe mechi 21 anakuwa na points 26 [emoji28][emoji28][emoji28]anaruka hadi top 10
Mpira wa vidole hivyo. Una uhakika gani kama mechi zote nne atashinda? Huyu aliyejuu yake ana vipolo vitatu pia akiwa amecheza mechi 18 hivyo ana kazi ya kufanya ili kuvuka hapo kwenye danger zone
 
Hiyo ndio football dogo
 
Mpira wa vidole hivyo. Una uhakika gani kama mechi zote nne atashinda? Huyu aliyejuu yake ana vipolo vitatu pia akiwa amecheza mechi 18 hivyo ana kazi ya kufanya ili kuvuka hapo kwenye danger zone
Keeping other factors constant
 
Unadhanai hizo rank wanagawa km wali wa msibani.

Kombe mtakalochukua utopolo labda kombe la Avic town.
hatujachukua kombe lenyewe nafasi ngapi tumechumpa au unajizima data dunduka???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…