Companero,
..matokeo ya mpango wowote ule wa elimu ni QUALITY ya wasomi wanaohitimu.
..Naibu Waziri wa Elimu, Mh.Ludovick Mwananzila, alilaumu kwamba zoezi hili la shule za sekondari za kata limefanyika kwa kukurupuka bila umakini.
..binafsi siwezi kumuandikisha mwanangu ktk shule ya sekondari ya kata. kwa msingi huo siwezi kumpongeza kwa ujenzi wa shule zile.