Kama mnavyojua harakati za chuo kikuu na usumbufu wa kozi instructors. Ilikuwa mwaka jana lecturer wa kozi yetu moja inaitwa introductory to microbiology alitoa test one kwa kweli test Ile kwa upande wangu Ilikuwa ngumu sana kiasi kwamba hakuna nilicho jibu zaidi ya kuandika jina langu na namba ya usajili.
Baada ya kumaliza test hiyo kama kawaida niliingia kwenye stress nzito kwani nilijua kabisa kozi hii nakwenda ku Carry over, Muda huo rafiki zangu walikuwa walijinadi kuwa mtihan wame umefanya vizuri.
Basi bwana usiku wa tar 20 nikiwa nafatilia arise and shine ya nabii Boniface Mwamposa, alisema andika chochote unacho taka ufanyiwe.
Kwa Imani nikachukua karatasi nikaanfdika jina la yule na lecturer na kozi husika
Nika tamka maneno haya " naomba lecturer (jina lake) atakapo Mark karatasi yangu asione kama sijaandika, na asione kosa lolote zaidi ya yote anipe marks nzuri"
Baada ya Hapo nika Amini Kuwa imekuwa hivyo.
Sasa Cha ajabu Leo wakuu lecturer huyo katika karatasi zetu nimepata 15 out of 15 na lecturer Katia tick pote hapo sikujibu chochote.
Aisse nimeshangaaa sana.