Hakika Mwalimu alikuwa Special, hata hapa anakiri makosa aliyofanya kupelekea Tanzania kutoinuka kiuchumi kutokana na sera za Kijamaa

Hakika Mwalimu alikuwa Special, hata hapa anakiri makosa aliyofanya kupelekea Tanzania kutoinuka kiuchumi kutokana na sera za Kijamaa

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Hakika mwalimu alishinda vita ya kijamii, sidhani hapa Africa ana mpinzani katika social policies ambazo hadi leo tunafaidika nazo.

Sidhani hii leo kuna kiongozi anaweza akawa honest kuwa aliteleza.

Katika interview hii, anakiri kutaifisha viwanda ilikuwa ni kosa kubwa mno akiongeza na usimamizi mbovu wa viwanda hivyo.

Pia anaongeza kuwa hawakuhitaji ku-nationalize kila kitu, kwa mfano ardhi ilikuwa chini ya mikono ya mamlaka kupelekea kutoweza kuwa available kwa mtu yoyote alietaka kuiendeleza kiuchumi.

Unaweza kumsikiliza hapa zaidi:


View: https://youtu.be/JGzC8AhERU8?si=V-kbXvBe4EXcMAhy
 
sasa litaka akomae kwa failure ambayo hata sisimizi wanaielewa? Jamaa alikuwa ni filure, alilirejesha nyuma sana Taifa
 
Back
Top Bottom