Hakika: Mwanaume kuwa na wivu kwa mke/msichana wake ni udhaifu na ujinga

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
28,916
Reaction score
40,479
Habarini Wadau,

Hata kama kwenye mapenzi pana wivu:

Huwa ninashangaa sana pale ambapo ninaona wanaume wenzangu wakilia lia na kupata stress au hata Blood Pressure kwasababu ya kuhisi au kuthibitisha kusalitiwa na Mke, Mchumba au Mpenzi.

Yakupasa ujiulize yafuatayo kabla ya kuanza kulialia na kwenda kumshitaki Mkeo popote pale:

1) Je, huyo Mpenzi, Mchumba au Mke ulimkuta na Bikira?

2) Wewe Binafsi huna Mchepuko unaomgonga mbali na Mkeo?

Mwanamke unapokuwa na uhusiano au ndoa naye...we mwambie tu maneno machache kuwa.

"Kutoka nje ya Ndoa sio vizuri kwakuwa kuna magonjwa ya zinaa na utashindwa kuitunza familia, pia Uaminifu ni jambo zuri, na akitoka nje atumie Condom. BAAAS!

Suala la kujifanya kumchunga mwanamke, kumfuatilia au kuchunguza simu yake NI USHAMBA NA UJINGA HAKIKA.

SWALI: Unamfuatiliaje mtu mzima mwenye akili zake? unafikiri hataweza kukucheat kwa vyovyote kweli?

Wanaume wa hivyo wanaojidai eti wana wivu. Hiyo ni evash vash au emaleesii, yaani Madeko.

Mwanamke alie kwa kusalitiwa na wewe Dume mzima ulie? Shieee!

KUWA MWANAUME AISEE. Acha kumchunga mwanamke, muda huo wa kumchunga tumia kwa kutafuta fweza.

Wabillah Tawfiq,
 
Wivu kupita kiasi ndio kitu kibaya lakini kwa wenye mapenzi ya kweli (KWELI) wivu kiasi unasaidia kuwekana sawa.
 
Tatizo sio kumkuta na bikra tatizo ukonae. Sasa Wivu kiduchu unasaidia kuboresha penzi, lakini usiseme usiwe na wivu, nani amonee wivu mkeo sasa kama si wewe mwenyewe.
 
kabla hujafikiria unaibiwa hebu chunguza inawezekana wewe ndio mwizi wa penzi la watu kutokana na ung'ang'anizi wako

kuwa mpole
 
Vakishu umeongea point wivu mbaya acha niendelee kutafuta mbesai nkigongewa na mimi nagongea levay ashe oleng
 
Yani nisiwe na wivu kwa mpenzi wangu?!...kwani mtu kutokuwa bikra ndio hafai?!



Mm kwny suala la wivu nipo vzr sana wacha niwe dhaifu tu
Na huwa unalialia na kwenda kumshitaki?
 
Tatizo sio kumkuta na bikra tatizo ukonae. Sasa.. Wivu kiduchu unasaidia kuboresha penzi,...lakini usiseme usiwe na wivu,..nani amonee wivu mkeo sasa kama si wewe mwenyew,
Kwani Wivu uliopitiliza mpaka ulie lie ni sifa nzuri?

Wivu wa hivyo ni wa Wavulana.
 
aisifiae mvua imemnyea!
mkuu huanza kupenda huja wivu hivi vitu huja tu huviundi hata mimi nilijiona kuntu kwenye kupenda! lkn nilishangaa imekuja tu tena + wivu! ha ha ha wacha wewe.. kusema kweli wivu siupendi na ndicho kilichonifanya nipambane nao kwani wivu unakosesha amani.. nashukuru jambo hili nimelimudu.

we shauri ni jinsi gani watu watapambana na wivu sio tusiwe na wivu.. maana huko kulia,stress,kufatilia ni matokeo ya wivu hivyo wivu ndo tatizo so ulichotakiwa kuleta hapa ni namna gani ya kupambana na tatizo wivu...?
 
Swala la kumchungu nakubaliana halifai ila swala la ni simuonee wivu ninae mpenda tusidanganyane ka wivu muhimu mkuu.
Umuhimu wake ni upi mkuu?

Jitahidi usimwonee wivu kabisa.
 
Ahsante kwa ushauri, maana nilikua nataka nimtegeshee wangu GPS na vinasa sauti kila anakokwenda nipaone na nisikie anachozungumza...
Kumtegeshea makamera ni Uduwanzi mkuu.
 
kumchunga mtu n kaz but unapohisi unasalitiwa roho inauma
Hupaswi kuumia roho kwajili ya Mwanamke aliyeamua kufanya yake akiwa Timamu.


Umia roho kwasababu ya Umasikini na ukosefu wa pesa.
 
Kwani Wivu uliopitiliza mpaka ulie lie ni sifa nzuri?

Wivu wa hivyo ni wa Wavulana.

Wivu wa kulialia upi,!?... Wivu unatokana na wewe unavompenda mkeo, ukimpenda kupita kiasi wivu utakuja ivo ivo, ukimpenda kawaida, wivu ni wa kawaida tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…