Hakika: Mwanaume kuwa na wivu kwa mke/msichana wake ni udhaifu na ujinga

Hupaswi kuumia roho kwajili ya Mwanamke aliyeamua kufanya yake akiwa Timamu.


Umia roho kwasababu ya Umasikini na ukosefu wa pesa.
We jamaa ujaoa ndo maana, ukiwa kweny ndoa utagundua ndoa sio uboifriend na girlfriend ni level nyingine kabisa....kwa iyo uwezi sema tu siumizwi na mke wangu aliyofanya na ikatokea,.. Marriage is not walking in the park
 
Mkuu, hali ya kuwa na wivu hata mimi ilishanikuta sana enzi hizo na unaweza umia sana...ila yafaa ifike mahala usiumizwebna wivu wewe kama MWANAUME

Wivu isiwe ni "case" kwako no matter imekutokea vipi.

Unakuaje na Wivu kwa mtu mzima mwenye akili na aliyefunzwa au uliyemwonya kuwa usifanye hivi na hivi?

Kuwa na Wivu na Maendeleo na si Mwanamke.

Mbaya zaidi ni Wanaume wanaowachunguza wanawake hadi kuwatrack simu zao.


Haifai.
 
Bila wivu mapenzi hayapo, ila kumchunga binadamu haiwezekani mkuu.
 
d
Umuhimu wake ni upi mkuu?

Jitahidi usimwonee wivu kabisa.
swala la wivu ni nature,ndo mana hata kuku wanapigana kisa ni wivu mbwa na viumbe wengine,wewe unatushauri tusiwe na wivu kwa wake zetu yani linakuja jamaa linamshika mkeo upo hapo usisikie wivu,
jamani sera zenu zimenishinda wivu muhimu
 
We jamaa ujaoa ndo maana, ukiwa kweny ndoa utagundua ndoa sio uboifriend na girlfriend ni level nyingine kabisa....kwa iyo uwezi sema tu siumizwi na mke wangu aliyofanya na ikatokea,.. Marriage is not walking in the park
Wewe una uhakika kuwa mimi sijaoa?
 
Naona baadhi ya wanaume wenzangu mnawashusha hadhi na heshima wadada ambao huolewa bila bikra.Kwa post hii inamaana mwanamke ambaye hakukutwa bikra siyo wakumuonea wivu.. duuh! kwakweli ifike mahali wanetu watunzwe kadri tuwezavyo ili waje waheshimiwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
d

swala la wivu ni nature,ndo mana hata kuku wanapigana kisa ni wivu mbwa na viumbe wengine,wewe unatushauri tusiwe na wivu kwa wake zetu yani linakuja jamaa linamshika mkeo upo hapo usisikie wivu,
jamani sera zenu zimenishinda wivu muhimu
Majira na aina ya maisha vyote vinabadilika, miaka ya zamani ni tofauti na sikuhizi.

Sikuhizi ukiwa na wivu kwa Mwanamke yeyote utakufa mapema sana.

Access ya wao kukucheat hata kama umemuoa kwa ndoa ni kubwa sana.

Usijipe BP mkuu.
 
Wivu wa kulialia upi,!?... Wivu unatokana na wewe unavompenda mkeo, ukimpenda kupita kiasi wivu utakuja ivo ivo, ukimpenda kawaida, wivu ni wa kawaida tu
Kwanini umpende mtu kupita kiasi?

Hujui huyo akikusaliti ndio utaweza kukata roho?
 
mkuu unafikiri haya maelezo yako yametibu..? nimekwambia wivu huja tu so leta mbinu za kuavoid wivu hapo utakuwa umewasaidia wengi.. usiseme hutakiwi kuwa na wivu kana kwamba wivu ni kitu cha kuchukua then utakirudisha basi umesolve problem..
binafsi nilifanya kufocus kwenye vitu vyangu hata kama ni kidogo yani hapa unamfanya asikutawale kimuwaza. hili ndilo lilipindua wivu kwa asilimia nyingi it's just a term of time tu slowly slowly wivu unakukaa km kumi.
 
Kwanini umpende mtu kupita kiasi?

Hujui huyo akikusaliti ndio utaweza kukata roho?

Ndo maana uliambiwa ishi nayo kwa hekima,.. Sasa ngoja uingie kweny ndoa majibu yote utayapata,
 
Mtoa mada ni mwenye wivu sana na huu ni uzi wa kujifariji, wanawake ni viumbe walio chini yetu wakati mwingine kumfatilia ni muhimu sana kwa masilahi ya watoto wako, afya yako na taifa kwa ujumla, sasa wewe leta mambo yako ya kumshauri mkeo kondomu,ataona ni kama umempa ruhusa na ataliwa hadi tigo halafu uje tena kuomba ushauri.
 
Majira na aina ya maisha vyote vinabadilika, miaka ya zamani ni tofauti na sikuhizi.

Sikuhizi ukiwa na wivu kwa Mwanamke yeyote utakufa mapema sana.

Access ya wao kukucheat hata kama umemuoa kwa ndoa ni kubwa sana.

Usijipe BP mkuu.
Si katai ila nikukumbushe kitu, kila mtu anajiumbia ulimwengu wake kutokana na mtazamo wake,me bado na amini waaminifu wapo kwasababu naanzia kwenye maisha yangu kama mimi naweza kuwa mwaminifu kwanini wengine wasiwe waaminifu,sasa kwa kuwa wewe uwa unamsaliti mpenzi wako una amini wanawake wote wanafanya hivyo si sawa hata kidogo,uwezi kujua wema kama si mwema na uwezi kujua ubaya kama si mbaya una amini watu si waaminifu kwa sababu wewe si mwaminifu siku ukiwa mwaminifu utawaona waaminifu na wapo wengi sana,ila kwa kuwa uko ulimwengu wa uchafu utaona uchafu tu.
 
Wanaume wote dunia hii na pengine wote walioko humu jamii forum hatuwezi fanana fikra na mawazo

What goes around always comes around
 
Kwahiyo wewe unaamini kumfuatilia mwanamke hivyo ndio sababu ya kumzuia kuchepuka kama ameamua kuchepuka?
 
Sio kweli,
 
Usipo mpenda hutokata roho?
Kukata roho utakata ila huenda ikachukua muda mrefu sana kwani utaishi comfortably.

Pia utakata roho ila si kwasababu yake.


Wabillah Tawfiq,
 
Sasa wewe usimshauri kuhusu Condom akagongwe kavu kavu na kukuletea STD's ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…