Hakika nampenda Welu Sengo

munangwa Jr

Member
Joined
Aug 23, 2014
Posts
20
Reaction score
5

Kwa muda kidogo sasa nimekuwa nikifuatilia movie za kibongo, kuna huyu dada anaitwa WELU SENGO,nimetokea kumkubali sana kwa namna anavyoigiza na ana uwezo wa kuuvaa uhusika wowote atakaopewa,pia yuko smart kwenye lugha haswa anapoongea lugha ya malkia Elizabeth lakini mwisho kabisa ni mrembo sana yuko na baby face na ile figure doh!

Acha niusemee moyo wangu,I LOVE YOU WELU SENGO.
 
labda ageuke na mi nitoe marks.... hizi passport size hukawii kuuziwa chekundu!!!!
 
Nyuma kwake ana mavi ya kutoshaaa

yule mtoto haki ya mungu mimi nishakufa nikaoza kwa kweli ule mgongo na ile miguu,mwanya ule kidogo na kicheko kile mi ntatangaza ndoa aiseee,Dinazarde mfikishie WELU SENGO ya kuwa NAMPENDA HASWA TOKA NDANI YA MOYO!!!
 
Cc wellu sengu kam this wei
 
Last edited by a moderator:
Moyo umenidundaje hapa, nyumba CHOO kwakweli au sebule SOFA jaman sio Kigoda

Nikisoma coment za uzi mmoja ulivyobishana na jibu la hapa, imebidi nikuulize, wew kabila gani, mkuu…?
 
Cc wellu sengu kam this wei

Kweli bhana ajitokeze japo tu asikie kuwa kuna kijana anamfikiria kwa kweli,yaani japo anipigie hata simu tu au kama kuna mtu ana namba yake japo nimtumie meseji tu ya kuwa NAMPENDA
 
Last edited by a moderator:
Waswahili bana, yani unakuja sokoni na picha ya nyumba only its front view alafu unakazana kuinadi..ina vyumba vinne, jacuzzi, mini bar, library blah blah....

Hebu next time njoo kamili mkuu, tupo digital era ati,
 
Hivi hawa watu wanaopendwa hivi wanajua hilo au,unazimika kwa mtoto mkali mzuri bahati mbaya yupo mbali kwa kila kitu,hakuna ka namna ujumbe uwe unafika kwa wahusika,mi mwenyewe nina kaugonjwa kangu kako mbele ni tatizo.
 
yule mtoto haki ya mungu mimi nishakufa nikaoza kwa kweli ule mgongo na ile miguu,mwanya ule kidogo na kicheko kile mi ntatangaza ndoa aiseee,Dinazarde mfikishie WELU SENGO ya kuwa NAMPENDA HASWA TOKA NDANI YA MOYO!!!

ana mtoto na yasemekana ni mjamzito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…