Hakika nimepoteza nguvu zangu bure

Nadhani ni pesa za majini hizo na mikataba yake ni kufanya mapenzi na kanga, bata na kuku. Hivyo kwetu ni vitoweo sio wakezze. Mihela mingine bure kabisa. We mangi wa wapi??
 
We ni mchekeshaji mzuri tumia vizuri kipaji chako upate izo pesa kiukweki
 
Ukisikia mtu anacheza na bata mzinga unajua tu huyo hana akili. Mwenye akili angekuwa anacheza na watoto yatima sehemu,watoto wake,au anapanga namna ya kuongeza pesa anunue magari ya ukweli n.k siyo kucheza na bata.au kutupa pesa halafu mwanaume unainama unaokota hii ni ishara mbaya sana

Yeees time is money
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yo gud at this[emoji1476][emoji1476]
 
Wee huoni kama umejiloga mwenyewe?
 
Itakuwa unaanza kurithi akili za hao kuku,kanga na Bata mzinga ni swala la muda tu.
hahaa hizo ni akili za mleta mada ni kama za hao kuku kumwagiwa mchele halaf anaanza kupekua tena na kuufukia
 
Hujajua kutumia pesa zikakuweka busy mpaka ukaomba likizo kama Bill Gates
 
Siku hizi umeacha kula makombo ya misosi wanayoacha washkaji bar?

 
Uliwahi kupata ajali ukaumia kichwa? Kama bado tembelea kituo cha afya kilicho karibu yako upime Malaria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…