ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Saa ya kufa nitajilekeza mno roho iende tu kwa kweli ikapumzike kidogo nimechafukwa Hapa mjini sio mchezoHukumbuki Kuna kufa?
Unafikir Kuna kupumzika mkuu lazima utaulizwa dunian ulikua unafanya niniSaa ya kufa nitajilekeza mno roho iende tu kwa kweli ikapumzike kidogo nimechafukwa Hapa mjini sio mchezo
😂😂HACHOMOKI MTU NARUDIA HACHOMOKI MTU!!!!! YOYOTE AH APO HACHOMOKI MTUKuna maisha baada ya kufa, hizo starehe za mda zitakupeleka kwenye mateso ya umelala, kumbuka mbingu ni halisi na jehannum ya moto ni halisi uchaguzi ni wako, Yesu alikufa msalabani kwa ajili yako kumbuka hilo
View attachment 1859353