Hakika nyakati zinakimbia, nakumbuka wimbo wa dataz/joan wakionyana kuhusu mume wa mtu leo zuchu analazimisha uke wenza kwa nguvu na vijana wana-cheer

Hakika nyakati zinakimbia, nakumbuka wimbo wa dataz/joan wakionyana kuhusu mume wa mtu leo zuchu analazimisha uke wenza kwa nguvu na vijana wana-cheer

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
"Sikiliza nikuambie wewe dataz mume wa mtu ni hatariiii...🎶"

View: https://youtu.be/EPQiEXLzYY4?si=B60DDmFLAMapuPFh

Siku hizi mna visabengo kwenye muziki sasa mnakaa kuhamasishwa alafu yakiwakuta ya kuwakuta mnatia huruma mitandaoni 😂

"oooh sijui leo ndio ujue mimi ni mke mwenzako hata kama hautaki ooh 🎶.."

Aya bwana tuseme yametushinda, anyway maisha yaendelee.
 
Back
Top Bottom