"Sikiliza nikuambie wewe dataz mume wa mtu ni hatariiii...๐ถ" View: https://youtu.be/EPQiEXLzYY4?si=B60DDmFLAMapuPFh
Siku hizi mna visabengo kwenye muziki sasa mnakaa kuhamasishwa alafu yakiwakuta ya kuwakuta mnatia huruma mitandaoni ๐
"oooh sijui leo ndio ujue mimi ni mke mwenzako hata kama hautaki ooh ๐ถ.."
Aya bwana tuseme yametushinda, anyway maisha yaendelee.