TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,747
Wana Lumumba wenzio akina FaizaFoxy wanalitambua hili?Chukua mwaka aliokufa Nyerere 1999 kisha toa na mwaka uliozaliwa wewe ongeza na miaka 18 ya kifo chake, utapata umri wako sahihi hapo ndio utajua alikuwa baba wa TAIFA,
IKIJA NAMBA TOFAUTI WEWE UTAKUWA SIO RAIA WA TANZANIA.
Sio za kitoto. Hii ni Arithmetic Progression.2000+17=2017-mwaka uliozaliwa=umri wako wa sasa
1999+18=2017-mwaka uliozaliwa=umri wako wa sasa
1998+19=2017-mwaka uliozaliwa=umri wako wa sasa
1997+20=2017-mwaka uliozaliwa=umri wako wa sasa
1996+21=2017-mwaka uliozaliwa=umri wako wa sasa
Kwisha habari
Hesabu za kitoto sana
Kwahiyo kama ni arithmetric progression unadhani hiyo itabadilisha ukweli kuwa hayo mambo tuliyafanya utotoni.Sio za kitoto. Hii ni Arithmetic Progression.
Umetisha tata madibaChukua mwaka aliokufa Nyerere 1999 kisha toa na mwaka uliozaliwa wewe ongeza na miaka 18 ya kifo chake, utapata umri wako sahihi hapo ndio utajua alikuwa baba wa TAIFA,
IKIJA NAMBA TOFAUTI WEWE UTAKUWA SIO RAIA WA TANZANIA.
hiyo kitu au sawa na hiyo mathematical manipulation imezunguka sana! Not new please! It is mathematical manipulations!Chukua mwaka aliokufa Nyerere 1999 kisha toa na mwaka uliozaliwa wewe ongeza na miaka 18 ya kifo chake, utapata umri wako sahihi hapo ndio utajua alikuwa baba wa TAIFA,
IKIJA NAMBA TOFAUTI WEWE UTAKUWA SIO RAIA WA TANZANIA.
Utoto UPI? Darasa la sita ni utoto?Kwahiyo kama ni arithmetric progression unadhani hiyo itabadilisha ukweli kuwa hayo mambo tuliyafanya utotoni.
Tulikuwa tunaita mchezo wa namba