Mkuu Tanzania hakuna mashabiki kuna bendera fuata upepo ngoja waende kwa mazembe wakafungwe utaona subiria si tuko hapa hapa utaona watakavyo kuja kumkataa.Watanzania mna tabia za kijinga za kuwapenda watu kwenye nyakati nzuri.Mkifungwa kidogo mnaanza kumchukia na kutaka afukuzwe.NAUNGANA NA JAMAA ALIESEMA MNA ROHO MBAYA NA TUISHI NANYI KWA AKILI.
Ni mitihani.Mkuu Tanzania hakuna mashabiki kuna bendera fuata upepo ngoja waende kwa mazembe wakafungwe utaona subiria si tuko hapa hapa utaona watakavyo kuja kumkataa.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Mazembe atapigwa tuMkuu Tanzania hakuna mashabiki kuna bendera fuata upepo ngoja waende kwa mazembe wakafungwe utaona subiria si tuko hapa hapa utaona watakavyo kuja kumkataa.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Asante kwa kulijua HiloMara mbili, nyingine sare
Yanga kufeli kwasasa na Kwa baadae hizo ni ndoto za alinacha! Ndoto za mgumba kuota kazaa au maskini kuota kaokota bulungutu la pesa au kichaa kuota kaibukia mtaa wenye dampo jipya! Ni kama eti useme siku Bill Gates akifilisika aje apitishe bakuli tandale! Au tembo eti akikonda atakuwa kama mbuzi hiyo haipoooo!!Kila mchezaji ni mzuri ndio maana yuko pale.
Hizi sifa zinatokana na kushinda match, kitafika kipindi Yanga watakuwa wanatoa sare au kupoteza match, na tutasikia mengine.
Shilingi ina pande mbili. Vipi kuhusu Bangala?Nabi anaweza akapanga kikosi mpaka ukasema huyu kocha anataka kuingia na mfumo gani lakini mpira ukichezwa ndiyo unajua alikua ana maanisha Nini.
Hiyo ilikua ni propaganda za wanasimba waliovalia jezi za yanga wakishinikiza nabi aondoke,
😂😂😂 😂😂😂 😂😂😂Hiyo ilikua ni propaganda za wanasimba waliovalia jezi za yanga wakishinikiza nabi aondoke, Na baadhi ya wanayanga waliopewa bahasha na viongozi wa simba
Umeambiwa alifukuzwa baada ya kupigwa na simbaKuna kocha ambaye hajawaji kufukuzwa?
Maczoran alifukuzwa baada yakupigwa na nan??Umeambiwa alifukuzwa baada ya kupigwa na simba
Kafanyaje bangala fafanuaShilingi ina pande mbili. Vipi kuhusu Bangala?
Ukweli utabaki alishafukuzwa baada ya kipigo kutoka kwa mnyamaMaczoran alifukuzwa baada yakupigwa na nan??
Na Yule mspain alifukuzwa baada yakipigo gan??
Hata morinho huwa anafukuzwa lakini bado ni moja ya makocha Bora hapa duniani.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwani Nani kakataa hicho unachokisema kwani nabi kachukua mataji mangapi mikononi mwako wewe uliyempiga akafukuzwa.Ukweli utabaki alishafukuzwa baada ya kipigo kutoka kwa mnyama
Kuimba kupokezanaKwani Nani kakataa hicho unachokisema kwani nabi kachukua mataji mangapi mikononi mwako wewe uliyempiga akafukuzwa.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sawa kwa wakati huu kubalini kuwa nabi ni fundi.Kuimba kupokezana
OyeeeeMwananchi ooyeeee!!!
Kubalini nyie ambae amefikisha ndoto zenu za kucheza shirikisho, Simba ndoto zake ni klabu bingwa Sasa mtu wa shirikisho hawezi kuwa fundi Simba, kama kufungwa hata ihefu anaweza kutufungaSawa kwa wakati huu kubalini kuwa nabi ni fundi.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app