PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,455
Kwa mujibu wa hotuba ya raisi amesema kuwa kaambiwa kuwa wabunge wa upinzani walitoka nje na kwawaacha wenzao wa ccm wakijadili sheria hiyo,hivyo walikosa fursa ya kujadili na wenzao.
Kama raisi amedanganya kiasi hicho ya kuwa wabunge wa ccm waliendelea na kujadili sheria hiyo ya mabadiliko ya katiba mpya baada ya kambi ya upinzani kutoka nje,napenda kusema kuwa huu ni uongo ulio pitiliza.
Mh raisi napenda kukujuza kuwa kilichoendelea bungeni ni vijembe,na kuijadili chadema pamoja na kambi ya upinzani kwa ujumla wao hakuna sheria yoyote iliyo jadiliwa kama kunamwenye ushahidi auweke hapa.