PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,455
Kwa mujibu wa hotuba ya raisi amesema kuwa kaambiwa kuwa wabunge wa upinzani walitoka nje na kwawaacha wenzao wa ccm wakijadili sheria hiyo,hivyo walikosa fursa ya kujadili na wenzao.
Kama raisi amedanganya kiasi hicho ya kuwa wabunge wa ccm waliendelea na kujadili sheria hiyo ya mabadiliko ya katiba mpya baada ya kambi ya upinzani kutoka nje,napenda kusema kuwa huu ni uongo ulio pitiliza.
Mh raisi napenda kukujuza kuwa kilichoendelea bungeni ni vijembe,na kuijadili chadema pamoja na kambi ya upinzani kwa ujumla wao hakuna sheria yoyote iliyo jadiliwa kama kunamwenye ushahidi auweke hapa.
unajua hata ulichoandika ni nini?ushahidi ni wewe uthibitishe ulichoandika kwa kuweka "hansard"
Kwa mujibu wa hotuba ya raisi amesema kuwa kaambiwa kuwa wabunge wa upinzani walitoka nje na kwawaacha wenzao wa ccm wakijadili sheria hiyo,hivyo walikosa fursa ya kujadili na wenzao.
Kama raisi amedanganya kiasi hicho ya kuwa wabunge wa ccm waliendelea na kujadili sheria hiyo ya mabadiliko ya katiba mpya baada ya kambi ya upinzani kutoka nje,napenda kusema kuwa huu ni uongo ulio pitiliza.
Mh raisi napenda kukujuza kuwa kilichoendelea bungeni ni vijembe,na kuijadili chadema pamoja na kambi ya upinzani kwa ujumla wao hakuna sheria yoyote iliyo jadiliwa kama kunamwenye ushahidi auweke hapa.
Na hapo atakuambia baada ya kushauriwa ndio kaongeza na akili zake ndio hotuba ikawa vile. Je asingeshauriwa ingekuwaja?...mtu akikudanganya na wewe ukajua kabisa kuwa unadanganya lakini bado ukaendelea kumsikiliza tu,basi elewa kwamba wewe unaendelea kumsikiliza huyo mwongo ndio m.p.u.m.b.a...
"NIMEAMBIWA,NIMESIKIA NA
NIMEJULISHWA"
...ni muda mrefu sasa JK amekuwa akijificha kwenye hiki kichaka cha "washauri wa raisi wanamshauri vibaya"...