Hakika Ruben ni nani?

Hakika Ruben ni nani?

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2019
Posts
3,862
Reaction score
6,438
Laiti ningekuwa namfatilia huyu jamaa ningejaribu kumsifia na kumkosoa....kwa popote nlipokuwa namwangalia.

Hivi wakuu anagusa zile Level za kina Joti, Idriss,Jaymond, Nalimi , Bro K , MauFundi, Mkudesimba na wengineo

Kwakweli sjamfatiliaga huyu mwamba ila wadada wakiongozwa na Pisi yangu akianza kumporomosha kwenye Status Daaah

Wakuu nipeni kayfa kuhusu huyo bwana mkubwa HAKIKA RUBEN ana moto wake au ndiyo kawaida???
 
Back
Top Bottom