Hakika Ruben ni nani?

Nilikua nashangaa watu wanajichekesha kwa comeds zake, baadaye nikakumbuka kiakili tupo watu tupo kwenye makundimakundi
Yaani mimi sikuwahi kucheka. Na kwa kuwa sipo kwenye IG wala hiyo mitandao inayotrend. Niliamua siku nimsikie huyo kaka, nikashangaa mbona hachekeshi? Tz kupata umaarufu hata siyo kazi kubwa sana.
 
Hakika
 

Attachments

  • 5273077-6e239d5f44df3d8f2bb36179c319ea66.mp4
    2.7 MB
  • 5273076-6f6703d140899c859e559832e9e987d8.mp4
    3.1 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…