Hakika Ruben, unachofanya sio comedy bali ni udhalilishaji kwa wanawake

Mashoga mbona mnatumia nguvu kubwa kutaka ufala wenu uenee
 
Wapuuzi kama hawa jamii ya kitanzania ndiyo huwa inawapenda. Clip kama hii mashangingi wote wa uswazi wenye makalio makubwa hawaikosi. Inasikitisha sana kuwa na jamii ambayo bado inawaza mambo primitive kama haya. Elimu yetu ni duni sana halafu lack of exposure inachangia.
 
Comedian wengi wanalazimisha fani
Uko sahihi. Lakini kumbuka hawa wanatafuta maisha na umaarufu tu. Wakulaumiwa ni jamii inayowa-promote. Wasingekuwa wanapata mashabiki basi wangekufa kifo cha mende. Ila ni kweli kabisa ma-cpmeadian wengi wa bongo wanalazimisha na kitu wanachosema au kutenda siyo comedy bali ni upuuzi fulani hivi.
 
Hebu nipisheee mie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nikianzaga kukusaulaaa unakuaga mpoleeee. Now sitakii tyuuh kukupa airtime,

Mxxxxieeeeeew
Wewe mtoto sijui kwanini haujanasa kwenye radar zangu.

Hapo kwenye kunisaula umejipa tu ujiko wa bure, ila kiuhalisia hauna uwezo huo.
 
Uganda kumewaka, machoko 490 wapo ndani, Kuna Uzi umewekwa, kwa Moto kule.
Museveni atawanyoosha mashoga kwasababu anajua kula na mabeberu hivyo hawatamwingilia kwenye hilo suala lake. Ingekua mtu dizaini ya Mugabe hadi muda huu dunia ya mabeberu ingekuwa ishapiga kelele kinyama kwa hiyo sheria mpya aliyosaini
 
Dogo kakalia chuma
 

Attachments

  • 5273076-6f6703d140899c859e559832e9e987d8.mp4
    3.1 MB
  • 5273077-6e239d5f44df3d8f2bb36179c319ea66.mp4
    2.7 MB
Tanzania bado sijaijua huyo hakika rubeni nimemsikia kwa mara kwanza jana
 
Mwanaume unatumia unatumia neno OVA wewe pia jiangalie
 
Uache kulaumu wanao mfira uje ulaumu wanawake una kichaa wewe kwani walimshikia miguu. Mijibaba ya jf mnakera kila tatizo lawama mnawapa wanawake khaaa kwa style hii ya kulalamika acha muendelee kuliwa tu
Wajinga haoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…