Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Napenda kuwasalimu wote, Asalam Alyekum, Bwana asifiwe na Tumsifu Yesu Kristu...Amen
Wakati hali ya hewa hapa jiji ikiwa shwari kabisa kajua na kajoto kwa mbali macho na masikio ya wengi yatakuwa huko Congo ya Tsheked kushudia mtanange wa unaosubiriwa kwa hamu kubwa kati ya Simba ya Tanzania Na As Vita Club.
Wakati tunasubiri game hiyo taarifa rasmi tulioipata mapema hivi leo toka sehemu mbali mbali za Kiufundi, maeneo hayo ni Miono Bagamoyo, Konde pemba na mchamba wiwa Unguja bila kusahau milima ya uluguru.
Kwa mujibu wa vyanzo hivyo vya uhakika kabisa toka pande hizo zinatanabaisha kuwa timu ya Simba itafugwa magoli 2:1
Hata hivyo chanzo hicho kina sema idadi ya magoli yameoungua baada ya bench la ufundi kutumia mbinu za kiitelejensia na kuzifanyia kazi.
Ni vema kwa mashabiki wa simba tukajiandaa kisaikolojia kubali matokeo hayo.
Niwatakie siku njema
Niatarudi hapa saa 4:30, usiku.
Sent using Jamii Forums mobile app