Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Mbona wewe unatamba bila hofu?Kila
Mchawi wanao dai madndeleo hayana vyama,ilhali Yana vyama Kama si chamaMbona wewe unatamba bila hofu?
Inatumia smartphone halafu unasema tumerudi nyuma miaka 50?bavicha aliewaroga kafa
Nyinyi wapinzani ni mashetani kabisa, mawazo gani haya.Kila muda mnawaza vinyesi, halafu mpewe ikulu nyie ngedere.poor kabisaJiwe akilazimisha miaka mingine mitano Mashekhe wa Uamsho watahamishishiwa magereza ya Bara ili kila Gereza liwe linawalawiti kwa mkupuo
Hili Taifa halijawahi kupata kiongozi mwenye roho mbaya kama huyu
Hofu unayo mwenyewe kwa kuwa ni mharifuKila mahali ni hofu!!
Someni hii tweet hapa chini ya DarmpyaBlog:
"MASAHIHISHO
Kufuatia taarifa ya mgombea ubunge jimbo la Bunda Mjini Esther Bulaya, iliyoripotiwa na vyombo vya habari ikiwemo DARMPYA ikionesha jimbo hilo hakuna diwani wa CHADEMA aliyewekewa pingamizi, tunapenda kusahihisha kwani Bulaya si msimamizi wa uchaguzi hadi atoe taarifa"
View attachment 1553512
Wenye roho mbaya ni chadema waliopata ruzuku milioni 350 kila mwezi kwa miaka 5 lakini hawajajenga hata ofisi moja. Hata kupiga rangi ofisi za makao makuu ya chama wameshindwa. Sasa wanatembeza bakuri.Jiwe akilazimisha miaka mingine mitano Mashekhe wa Uamsho watahamishishiwa magereza ya Bara ili kila Gereza liwe linawalawiti kwa mkupuo
Hili Taifa halijawahi kupata kiongozi mwenye roho mbaya kama huyu