Princetaffa
New Member
- Sep 5, 2022
- 2
- 12
Hakikisha kila unachofanya ni maendeleo kwako badae. Acha kuchoka mapema, jiangalie wangapi wapo nyuma yako wanakutegemea wewe. Usichoke muombe Mungu huku ukizidi kupambana.
Hata jiwe huvunjwa kwa jiwe, huu ni wakati wako sasa.
By princetaffa
Hata jiwe huvunjwa kwa jiwe, huu ni wakati wako sasa.
By princetaffa