Hakikisha mji unazalisha mali

Fredrick SEBA

Member
Joined
Aug 13, 2011
Posts
36
Reaction score
5
Hello!
Naitwa Fredrick SEBA, Nakaa Banana Ukonga, Najishughulisha na Ufugaji wa kuku wa Kienyeji, pure na Machotara, kuku wa malawi, nk
Pia nauza mayai, vifaranga na kuku wakubwa wa kienyeji kwa yeyote anaehitaji kufuga awasiliane na mimi kwa simu namba 0716234201 AU 0763234201
KUMBUKA KUWEKA ODA YAKO MAPEMA
 
Asante sana kwa taarifa, nitakutafuta. Karibu sana jamvini.
 
asanteni sana wana JF, mayai yapo mengi mno trei 15000 press order yako mapema Chalii
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…