Unaweza kufanya hivi kwa kumiliki mradi mdogo wa ufugaji wa kuku wa kienyeji!
Naitwa fredrick seba, nakaa banana ukonga najishughulisha na ufugaji wa kuku wa kienyeji pure, machotara yake na wamalawi, nauza mazao yake pia kuanzia mayai, vifaranga hadi kuku wakubwa yaani mitetea na majogoo! Pia natoa ushauri na elimu bure ya ufugaji bora na wa kisasa wa kuku, bata n.k
piga simu no. 0716/63-234 201
au fika banana ukonga ili upewe huduma uitakayo
karibu sana!