Hakikisha unabakisha pesa,Hii siri mtanishukuru.

Vipi nikiacha salio kwenye account hata ya mpesa ni sawa?
 
Tangu nianze kufata ushauri wa ukipata buku kula jero jero weka kwenye kibubu.pesa kwakweli inaongezeka ila nazidi kukondeana tuu hapa..hivi aliyeanzisha huu msemo ni alikuwa ni mtoto au mtu mzima kama ni mtu mzima basi nahisi alikuwa anakaa kwa wazazi
 
Na hizo 1M unazigikiaje pasipo hizo 100K? Kwamba unajikuta tu una 1M kila kona
 
Alikupoteza mkuu, ukipata buku unatakiwa kula 200 tu 😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…