Hakikisha unabakisha pesa,Hii siri mtanishukuru.

Ni sahihi kwahiyo wahenga hawajakosea akiba haiozi niliwahi kukosa kiwanja kizuri kisa pesa sijaiconvert kutoka Mali kuwa cash in hand
 
Ndugu
Acha mzaha na pesa, fanya kazi kwa bidii kama ni shambani au ofisini au majini pga kazi..

1. Acha kukesha mitandaoni kama hapakuhusu

2. Acha maandamano, tumia muda huo kuandamana shambani, au majini.

3. Achana na harambee na michango ya kindezi ambayo haina direct positive economic impact kwako

4. Changamkia fursa za kilimo, uvuvi na ujasiriamali mbalimbali!.

5. Kuwa bahili (bana matumizi)

6. Tumia unachoweza kuzalisha

7. Achana kuhongana kindezi kama kipato chako hakiruhusu!
 
A/C za wafanyabiashara tunaowaita milionea zina ma OD. Tufanyeni kazi kwa akili na bidii na akiba tuweke.
 
Wewe mbona unaijua hiyo siri lakini haufanikiwi, tatizo liko wapi?
 
Kwa maelezo yako kwa sasa nipo kwenye u lakionea maana nina laini kama 10 na zote zina kiasi kisichopungua laki 3 tatu.
 
Hela haiwekwi tu inazungushwa... Ukiweka pesa Cash basi hakikisha hela hiyo inaongezeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…