Hakikisha unapiga mswaki na kuoga kabla ya tendo

Hakikisha unapiga mswaki na kuoga kabla ya tendo

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Mapenzi ni usafi na si uchafu.

Hakikisha unapiga mswaki na kuoga kabla ya tendo. Hii uongeza uwezo mkubwa kwa mwenzako kuwa na hamu na wewe kwenye game na inaongeza hamasa mwenzako kubarizi kila kona ya mwili wako.

Ni aibu unalala na mtu ananuka mijasho,au akiachama mdomo kuzungumza kitu fulani hali ya hewa inabadilika; huko ni kutokujitambua.

Narudia tena, mapenzi ni usafi na si uchafu...
 
Niliwahi kuachwa na papuchi kwa kupoteza mda na hayo mambo ya usafi..

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sio wakati wa Tendo tu.

Usafi ni muhimu sana kwa Maisha yetu ya kila siku
 
Kwahiyo umeshindwa kabisa kumwambia mwenio6 hapo ukaona uje umshtaki huku sio?

Bagwell
 
Ndioo ila nilimwambia "ndugu yangu utaniuwa"
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] daah sipati picha alijisikiaje aisee,

House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] daah sipati picha alijisikiaje aisee,

House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
Tumezoeana hakujisikia vibaya😂
 
Back
Top Bottom