chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Miaka ya nyuma sana kuliibuka wauza nyumba maeneo ya Mbagara na viunga vyake yani nyumba inajengwa kisha inauzwa na wauzaji wengi walikuwa Facebook.
Kisa kimoja kilimtokea jamaa yangu kusikia nyumba milioni 30 basi chapu kanunua, sasa alichokutana nacho ndio anajuta ni mwendo wa kurekebesha vilivyofichwa.
Mfano sehemu iliyotakiwa nondo kwenye zege wao wameweka nondo ndogo na sehemu ambazo tu madirisha na mlango.
Sasa huko naijeria kilichotokea ndio hiki kisa.