Hakimu akamatwa akiwa na binti mdogo kwenye nyumba ya kulala wageni

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Hakimu akamatwa akiwa na binti wa chini ya umri wa miaka 18 akiwa kwenye nyumba ya kulala wageni

Afisa huyo wa mahakama ambaye jina lake limehifadhiwa alinaswa akiwa na msichana huyo wa umri wa miaka 17 katika nyumba ya kulala wageni katika Kituo cha Kaplong huko Bomet.

Kamanda wa Kaunti ya Bomet Esther Senoney amethibitisha kukamatwa kwa watu hao.

------
  • The Judicial officer whose name has been withheld was nabbed with the 17-year-old girl in a lodging at Kaplong Centre in Bomet.

A Senior Principal Magistrate at a court in Kisii County has been arrested after he was caught with a minor in a lodging.

The Judicial officer whose name has been withheld was nabbed with the 17-year-old girl in a lodging at Kaplong Centre in Bomet.

Bomet County Commandant Esther Senoney has confirmed the arrest.

Source: Kisii Senior Principal Magistrate arrested with underage girl in a lodging
 
Hakimu akamatwa akiwa na binti wa chini ya umri wa miaka 18 akiwa kwenye nyumba ya kulala wageni

Afisa huyo wa mahakama ambaye jina lake limehifadhiwa alinaswa akiwa na msichana huyo wa umri wa miaka 17 katika nyumba ya kulala wageni katika Kituo cha Kaplong huko Bomet.

Kamanda wa Kaunti ya Bomet Esther Senoney amethibitisha kukamatwa kwa watu hao.

======

A Senior Principal Magistrate at a court in Kisii County has been arrested after he was caught with a minor in a lodging.

The Judicial officer whose name has been withheld was nabbed with the 17-year-old girl in a lodging at Kaplong Centre in Bomet.

Bomet County Commandant Esther Senoney has confirmed the arrest.

Source: Citizen Digital
 
Hakimu Mkuu Mwandamizi katika Mji wa Kisii anashikiliwa baada ya kukutwa na binti mwenye umri chini ya miaka 18 katika nyumba ya kulala wageni.

Afisa huyo wa Mahakama ambaye jina lake limehifadhiwa alikutwa na binti huyo katika eneo la Kaplong Centre, Bomet.

Mamlaka za usalama za Bomet zimethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

police1-thumbnail-thumbnail.jpg

Source: Citizen digital
 
kwahiyo huko kukutwa chumbani na binti ni kosa mbona tukibanana nao kwenye daladala hamtukamati
 
Ni wakati gani jina la mtuhumiwa husemwa public?
 
Back
Top Bottom