Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Hakimu akielezea namna viongozi wa CCM walivyokuwa wakimpigia sim kumshinikiza kutumia mahakama kupambana vita vyao vya kisiasa.
---
Akifafanua jambo hilo Hakimu anasema:
Mimi nikiwa Ardhi pale Manyara mwaka 2013, kilitokea na Uchaguzi wa Mbunge, kuna Mbunge alifariki kule kukawa na Uchaguzi wa marudio na nilikuwa ni hakimu kule Manyara.
Kulikuwa na Costa zinatoka Moshi kuja kuongeza nguvu kwenye Uchaguzi walikamatwa pale Manyara na RCO anaitwa Msuya.
Nikapigiwa simu kuna order imetokea juu kuwa Hawa watu wasipewe dhamana mpaka Uchaguzi uishe lakini nikawaachia maana sikuona kosa lao lakini consequences yake niliipata. Akaniambia wewe wameshakuchukulia kama Ant CCM, lakini sikuwa na chama nilitenda tu haki.
Nikakimbilia Iringa nilipofika kule nikakutana na kesi za kina Msigwa, Peter Msigwa alikuwa na kesi za Uchaguzi karibia sita kuna moja nikaambiwa nifute dhamana nikakataa, madhara yake pia niliyaona.
Nachojaribu kuwaambia kuwa kwenye mfumo ambao hakuna haki, huwezi kutenda haki ukawa mtu mmoja, na bahati mbaya ukiwa victim nani ananijua kama kule nilipataga matatizo?