HAKIMU ANAWATIA HATIANI WASHTAKIWA HALAFU WANAJITETEA KUPUNGUZIWA ADHABU ANADAI HOJA HIZO NI NZITO MAHAKAMA HII HAINA UWEZO ANATUMA FAILI WILAYANI

HAKIMU ANAWATIA HATIANI WASHTAKIWA HALAFU WANAJITETEA KUPUNGUZIWA ADHABU ANADAI HOJA HIZO NI NZITO MAHAKAMA HII HAINA UWEZO ANATUMA FAILI WILAYANI

mumburya

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
321
Reaction score
448
Wanasheria nisaidieni. Katika kesi ya wizi HAKIMU ANAWATIA HATIANI WASHTAKIWA HALAFU WANAJITETEA ILI KUPUNGUZIWA ADHABU. Mmoja akasema anaumwa vidonda vya tumbo, mwingine akasema anaumwa mkono na kifua. Baada ya hapo Halkimu Anasema HOJA HIZO NI NZITO MAHAKAMA HII HAINA UWEZO WA KUSIKILIZA HAYO MAOMBI YAO, Hivyo anasema kuwa anatuma jalada wilayani.

Swali: kisheria hiyo sawa?
 
ingekuwa vzur Kama ungeweka angalau hata material facts za hiyo kesi na ilisuluhishwa Mahakama gan
 
ingekuwa vzur Kama ungeweka angalau hata material facts za hiyo kesi na ilisuluhishwa Mahakama gan
KAKA KESI NI YA JINAI (WIZI WA KUTUMIA SILAHA ILIYOBADILISHWA NA POLISI KUWA KUVUNJA NA KUIBA) MAELEZO INGAWA NILITOA KIFUPI LAKINI YAMEJITOSHELEZA KUWA HAKIMU KAWAKATIA RUFAA WILAYANI. JE NI SAWA KISHERIA.
 
Kwa kawaida, baada ya mahakama kutoa uamuz let's say kama ilivo hapo kwamba the accused is convicted, kinachofuata ni mahakama kuruhusu upande wa mshtakiwa (accused) kutoa utetez wao kwa lengo la kufanya maombi ya mitigation of punishment yan upunguzwaji wa kiwango cha adhabu, na pia upande wa mashtaka (prosecutors) huruhusiwa kutoa Aggravating factors ili kuiomba mahaka iongeze kiwango cha adhabu. sasa kwa mada yako hapo tuchukulie huu mfano hapa chin;-

Kwa mfano kwa kosa la burglary adhabu yake ni kifungo cha miaka kumi na nne kama kosa likifanyika mchana, ila kama ni usiku adhabu yake ni kifungo cha miaka 20.
sasa kama mtuhumiwa atajitetea basi mahakama na ikazingatia utetez wake bas INAWEZA ikapunguza kiwango cha adhabu kutoka miaka 15 au 20 had miaka 10.

Lakini kilichotokea hapo sijawahi kukutana nacho labda wazoefu watatuambia.
mi naona ni bora labda ungetuambia jamaa alijitetea vipi au hata full facys za kesi.

NAOMBA RADHI KWA UANDISHI MBOVU, NIPO SAFARINI.
 
Back
Top Bottom