mpogorohalisi
Member
- Jun 11, 2025
- 12
- 24
Aadhibiwe huyo watu kama hao ni kero kabisa.Hapa Ifakara Kuna HAKIMU anaitwa Minja ni mwanamama mwenye dharau sana. Anawatangazia watu waje saa mbili asubuhi yeye anakuja saa 5 alafu akifika anakaa ofisini Hadi saa 9 ndio mnaanza kuitwa majina anahudumia mtu mmoja wengine wote mnapigwa tarehe nyingine.
Na muda ni uleule saa mbili na yeye anaingia saa 5 na anaitwa majina saa 9 anaahirisha na kupanga tarehe saa 9:30. Wenye mamlaka @mahakamakuu
Mkuu wa Mkoa Morogoro
Huyu mama anaharibu kazi za watu na hajali kabisa tunaomba mtusaidie wananchi wa ifakara. Mimi Leo mara ya 4 naahitishiwa shauri na HAKIMU yupo
Ndio hapoMahakama ndiyo ipo pale karibu na Polisi kule kiungani km ni pale kweli anachelewa kuanza kesi
Kama hapo ni kweli kuna kesi nilikuwa nafuatilia hapo, polisi nilishangaa watu wanalala kwenye ile miti mpk saa 9 huko ndiyo wanaanza kuitwa.Ndio hapo
Kashashiba rushwa uyo.
Kuna kipindi nilikua nafanya kazi kama legal officer aisee izo mahakama za chini zina upuuzi mwingi sana siwez kuelezea af incharge wengi ni wanawake.
Mpaka tunakoma aiseeKama hapo ni kweli kuna kesi nilikuwa nafuatilia hapo, polisi nilishangaa watu wanalala kwenye ile miti mpk saa 9 huko ndiyo wanaanza kuitwa.
Kabisa tunaambiwa saa 2 tunaanza saa 8Kashashiba rushwa uyo.
Kuna kipindi nilikua nafanya kazi kama legal officer aisee izo mahakama za chini zina upuuzi mwingi sana siwez kuelezea af incharge wengi ni wanawake. Poleni