KESI YA UAMSHO
Jaji Mwampashi alisema sheria iliyotumiwa na DPP kufunga dhamana ya watuhumiwa ambayo ni Ibara ya 19(1)(2) inampa uwezo wa kumuagiza ofisa wa polisi peke yake, si mahakama.
Alisema DPP alichotakiwa kueleza wakati wa kupinga dhamana ni sababu zipi za kuishawishi mahakama isitoe dhamana kwa watuhumiwa.
Hata hivyo alisema hawezi kufuta kibali cha DPP cha kufunga dhamana kwa sababu hakupewa nafasi ya kuja mahakamani kutetea hoja yake, lakini aliutaka upande wa walalamikaji kuwasilisha upya ombi la dhamana Mahakama Kuu.
swali
KWANINI HAKIMU NONGWA ANATUMIA KIPENGELE HICHO HICHO KUZUIA DAHAMANA YA SHEIKH PONDA