Wewe ndo mjinga, onesha hata barua moja ya mwaliko wa kuhudhuria msiba. Watu huenda msibani na wakikuona wanakupa heshima unayostahili na usipokwenda huulizwi.Ile ni shughuli ya kiserikali kama shughuli nyingine yoyote. Lazima ualikwe, haupeleki tu pua yako kwenye shughuli inayohudhuriwa na viongozi waandamizi wa serikali. Acha ujinga.
Kwani akiyasema umma ukajua kuna tatizo gani?Binafsi niliamini Naibu Spika Dr Tulia analiwakilisha bunge zima pale msibani kwa Balozi Kijazi kumbe nilikosea alikuwa anamwakilisha Spika wa bunge ambaye yuko mbali.
Nijuavyo mazishi siyo kama vikao vya serikali au chama ambavyo kuna watu ni lazima wahudhurie kwa mujibu wa vyeo vyao.
Kwenda msibani ni jambo la hiyari kwa namna Mungu alivyokujalia.
Nawatakia Kwaresma yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Siyo korogwe bali ni KOOGWE'Alisikika Mzee Mgaya WA Korogwe'
Tuzidishe maombiUmesema sahihi kabisa,Tulia aliwakilisha Bunge na si Spika.
Kwani Ndugai yupo wapi hadi awakilishwe kwenye tukio hili zito?
Kwa maana Dodoma ni epicentre ya changamoto ya upumuaji.
Hapo tutashukuru tukisha watia machoniTatizo la kuleta siasa kila mahali ndio matokeo yake wanaibua maswali amvayo hata hayakutakiwa watu wajiulize au kuyauliza...
Kwani Spika yuko wapi? Angenyamaza nani angeshupalia kutaka lujua hilo? Ikiwa Mpango katuma sms kwamba yuko salama naamini wengine nao itatafutwa namna ya kujuzwa hali zao huko waliko.
Huo ndo umbumbu wa Awamu ya Tano ya kukweza watu badala ya Taasisi ndiyo maana tunashuhudia kwa mara kwanza toka Uhuru Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Waziri nk anakwenda kufungua choo, Soko Stand ya Mabasi nk au anahudhuria, ndani ya nchi au nje, Mikutano, Warsha, Kongamano hata ya Kitaaluma nk, atajigamba kuwa anafanya hivyo kumuwakilisha Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli akiwa ametulia tuli Chato. Nchi yetu na watu wake ambayo ndo Mwanachama wa Taasisi za Kimataifa kama UN, AU WHO, IMF, SADC, nk haiwakilishwi ingawa mezani kuna kibao UNITED REPUBLIC OF TANZANIA kuonyesha mwakilishi wetu atakapokaa ikiwa na maana yeyote (hata Kibajaji) atakayekalia Kitu hicho ndo mwakilishi wa Jamhuri yetu. Ni ujinga Waziri wa Afya kumuwakilisha JPM Mikutano wa WHO, Geneva au aende mwenyewe.Umesema sahihi kabisa,Tulia aliwakilisha Bunge na si Spika.
Kwani Ndugai yupo wapi hadi awakilishwe kwenye tukio hili zito?
Kwamaana Dodoma ni epicentre ya changamoto ya upumuaji.
Uwezo wa kutafakari wa wantanzania uko chini sanaMsiba sio karamu useme unatoa mwaliko
Mwaliko msibani 😵Acha ujinga, una uhakika aliyetumiwa mwaliko ni Tulia na sio ofisi ya spika?
mwaliko ukitumwa kwa ofisi ya spika basi yeyote atakaye teuliwa kwenda anakwenda kwa niaba ya spika. Ni lazima aseme anamuwakilisha spika.
Kinyume na hapo itaonekana spika ameamua kupuuza mwaliko.
Kwahiyo kama amewakilisha? Ina maana Ndugai angehudhuria basi Tulia asingeenda!!!Kwa maana nyingine pale msibani yeye hakuwa na majonzi bali alibeba majonzi ya Ndugai? Yaani unaenda msibani kwa niaba? Duh!
Huyu kwenye msiba wa Diwani mstaafu Mbeya wananchi walimtimua. Bado ana wenge na misiba.Binafsi niliamini Naibu Spika Dr Tulia analiwakilisha bunge zima pale msibani kwa Balozi Kijazi kumbe nilikosea alikuwa anamwakilisha Spika wa bunge ambaye yuko mbali.
Nijuavyo mazishi siyo kama vikao vya serikali au chama ambavyo kuna watu ni lazima wahudhurie kwa mujibu wa vyeo vyao.
Kwenda msibani ni jambo la hiyari kwa namna Mungu alivyokujalia.
Nawatakia Kwaresma yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Umewahi kualikwa msibani??Acha ujinga, una uhakika aliyetumiwa mwaliko ni Tulia na sio ofisi ya spika?
mwaliko ukitumwa kwa ofisi ya spika basi yeyote atakaye teuliwa kwenda anakwenda kwa niaba ya spika. Ni lazima aseme anamuwakilisha spika.
Kinyume na hapo itaonekana spika ameamua kupuuza mwaliko.
itoshe tu kusema huna akiliAcha ujinga, una uhakika aliyetumiwa mwaliko ni Tulia na sio ofisi ya spika?
mwaliko ukitumwa kwa ofisi ya spika basi yeyote atakaye teuliwa kwenda anakwenda kwa niaba ya spika. Ni lazima aseme anamuwakilisha spika.
Kinyume na hapo itaonekana spika ameamua kupuuza mwaliko.
Msiba wa Kitaifa/Serikali una protokali. Kama katika ratiba ya msiba huo kulikuwa na nafasi ya Spika kutoa neno na bahati mbaya hakuwepo, atakayeongea ama kwa maagizo ya mhusika au yeye mwenyewe baada ya kuona pengo, anaongea kwa niaba ya muhusika (Spika) ni jambo la kawaida. Kuna kiongozi ameongea msiba mwingine karibuni kwa niaba ya Rais ambaye hakuwepo msibani. Hatuwezi kusema amekosea sababu nae pia ni kiongozi wa Serikali na ameiwakilisha serikali.Binafsi niliamini Naibu Spika Dr Tulia analiwakilisha bunge zima pale msibani kwa Balozi Kijazi kumbe nilikosea alikuwa anamwakilisha Spika wa bunge ambaye yuko mbali.
Nijuavyo mazishi siyo kama vikao vya serikali au chama ambavyo kuna watu ni lazima wahudhurie kwa mujibu wa vyeo vyao.
Kwenda msibani ni jambo la hiyari kwa namna Mungu alivyokujalia.
Nawatakia Kwaresma yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Rais ni taasisi na Bunge ni taasisi lakini Spika ni mtu tu!Msiba wa Kitaifa/Serikali una protokali. Kama katika ratiba ya msiba huo kulikuwa na nafasi ya Spika kutoa neno na bahati mbaya hakuwepo, atakayeongea ama kwa maagizo ya mhusika au yeye mwenyewe baada ya kuona pengo, anaongea kwa niaba ya muhusika (Spika) ni jambo la kawaida. Kuna kiongozi ameongea msiba mwingine karibuni kwa niaba ya Rais ambaye hakuwepo msibani. Hatuwezi kusema amekosea sababu nae pia ni kiongozi wa Serikali na ameiwakilisha serikali.
Siyo korogwe bali ni KOOGWE
Kama Spika ni Mtu tu usingemuita spika, ungesema Ndugai ni mtu tu. kadharika usingesema Rais ni taasisi ungesema Ikulu ni taasisi.Rais ni taasisi na Bunge ni taasisi lakini Spika ni mtu tu!