Sawasawa kipenzi...unaupiga mwingi naona🤣🤣🤣🙌Hey Cute Wife,
Daz911 and Leejay49 official wedding announcement. Kindly contact Unique Flower, for wedding cards👋👋🍾
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ungekua karibu ningekupiga kofi moja hilo na hiyo rangi yako ungerudi kwenu unalia wiki nzimaBado sijasahau lile li divorce la saa 8 usiku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ungekua karibu ningekupiga kofi moja hilo na hiyo rangi yako ungerudi kwenu unalia wiki nzima
Sometimes unakera[emoji1787]
Kweli ningekutia makofi.Ile siku ningekua karibu ungenivunja miguu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulikasirika mpk volume ya mwisho dah!! Unajua mpk ss hivi nakuogopaaaaaa
Kweli ningekutia makofi.
Mkuu unafukua makaburi.kuna Yule mliozaa na Chizi Maarifa akaja kumsalimia na kumuona mtoto na kuondoka nae bila ridhaa yako mamamtoto au huyo ni mwingine??? Na huyo mdogo ni kweli kuwa ni wa intelligent Bussinessman ??
[emoji1787][emoji1787]Ss hivi nakaa mbali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kabesaaa 8pipooo naona sikuhizi umeacha fujo zako za enzi hizooo🤠!! Sijui ndio kuzeeka hukuu lol😁!!
Soon nawapa mualiko☺️🤧🤧🤧🤕🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😐🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ms eyes mshamba_hachekwi Gily Gru
Mtasema pilau italiwa wapi nije maana sio poa.
Slogan sasaivi ni
#ABIRIA CHUNGA MPENZI WAKO#
😆😆😆😆😆😆
Wee sema kweli 😁😁😁🤠!! Karibu sanaa auntie manywele hanata tabuuu anafurahi nakila mtuuu🤭Sina mwingine wa kumchokoza zaidi yako manywele...
😙😙😙 Vyema kabisa ila mtoke mitandaoni msije mkaibiwa penzi ushauri wa bure tu.Soon nawapa mualiko☺️
Mi miyeyusho nasubiria madem wa sudan. Huku hakunifai aisee.nna wewe lini mzee😂
[emoji1787][emoji1787]
Mojawapo ya njia kubwa ya ku expose ujinga wako ni kuongea, if you don't talk no body would know what you are thinking!!!!itakua niwale mabloo madomo zege chakuongea hawana wanabaki kuguna tuu.
mwanaume inabidi sometime unaongea hata mada ya uongo ili uonekane sio unakaa kama jinga.
Nakaziaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Comment yako ina hoja,isikilizwe [emoji1787][emoji1787]
nna wewe lini mzee[emoji23]
Nakaziaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee uduguu jamaniiiiKumbe jana kulikuwa na maua ya udugu mbona hukunitag [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itakua uduguuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sana’aa afu sijaona sijui ni zile dawa nilizokunywa jana [emoji23][emoji23][emoji23]