Hakuna app nyingine ya kucheki Tanzania league tofauti na Azam TV max?

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Jambo ndugu zangu,

Nauliza hakuna system nyingine ya kucheki live league ya TV online tofauti na azam TV Max kwa wale ambao wako nje ya Tanzania?

Maana huu mtandao wa azam mbona nashindwa kuelewa hivi unaweza kufungua app yao uka save every thing mwisho kabisa wasikutumie code.
 
Uliza ukikwama sio kulaumu tu
 
Azam media kujen kwa uku more muongozo kwa shabiki wa yanga
 
Ipo app moja hivi tena ni free no promo code ni bando lako tu
 
Ipo app moja hivi tena ni free no promo code ni bando lako tu
hawa ni wale waliofanikiwa ktk maisha na wanakufa na mijisiri mingii. Sasa kutaja umeona mpk ushkwe shkwe
 
Gramface app walikuwa wanaonyesha hadi mwaka jana. Ila siku hizi naitafuta hii app play store siioni sijajua shida ni nini.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Piman tv max...ni app iko playstore unaangalia mpira vizuri kabisa...ni wewe na bando lako tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…