Hakuna awezaye kuishi peke yake

Hakuna awezaye kuishi peke yake

akwinomsombe

Member
Joined
Feb 6, 2011
Posts
8
Reaction score
0
Unaambiwa kwamba katika dunia hii kila mtu ameumbwa kwaajili ya mwenziwe. Maisha ni kuheshimiana na kupendana daima.
 
NI KWELI KAMA MIE NINA MPANGO WA KUISHI NA MWANA JF MMOJA TU! wengine watakua wifi na mashemeji.
 
Du sasa hueleweki malizia basi vigezo vyako, km mm hapa nipo peke yangu na ni mwanamume natafuta mwenza sasa ww ni dume au? maana hilo jina. Mimi natafuta kabint
 
Du sasa hueleweki malizia basi vigezo vyako, km mm hapa nipo peke yangu na ni mwanamume natafuta mwenza sasa ww ni dume au? maana hilo jina. Mimi natafuta kabint

WEWE Ukwaju mchachu sana sio wewe kabisaaaa!!! yupo!!!!! anajijua we utakua shemeji ila utanisaiidia wakti nime vimbiwa, nitakua nakulamba.
 
Nadhani yafuate makubaliano ya dhati. Mkataba uwe wazi tafadhali
 
:laugh::laugh::laugh:Mbona mie naishi peke yangu? Sio lazima kila mtu aishi na mtu, waweza kuishi mwenyewe na maisha yakaendelea poa tu!:laugh::laugh::laugh:
 
:laugh::laugh::laugh:Mbona mie naishi peke yangu? Sio lazima kila mtu aishi na mtu, waweza kuishi mwenyewe na maisha yakaendelea poa tu!:laugh::laugh::laugh:

Nadhani mda wako haujafika utatafuta wako tu! na ikifika unaweza kutusumbua sana na hawa watu wetu
 
Najibu kichwa cha habari..Wapo wanaoweza kuishi peke yao!Ni maamuzi tu!
 
Jamani ni kweli kuishi mwenyewe isu hata mm natafuta wa kuishi naye, kama yupo ajitokeze.
 
ahh unaweza kabisa ishi mwenyewe mbona mie nimeweza na miaka yangu 50:twitch:
 
kuishi peke yako ni maamuzi yako mwenyewe ila duh .......
 
Ila ukweli ni kwamba hakuna maisha utakayo ya enjoy kama yale ya wakati uko peke yako.
 
Back
Top Bottom