Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 344
- 926
HAKUNA BADIDILIKO LISILO NA SABABU NYUMA YAKE, HIYO NI TAA NYEKUNDU KAKUWASHIA.
Kwenye mahusiano kuna mabadiliko mapya na kuna yale yaliyokuwepo ila sababu tu ya mazingira ya wakati huo isingekuwa rahisi kuyaona ( labda kama utumie ujasusi mkubwa kumpeleleza)
MABADILIKO MAPYA KWENYE MAHUSIANO.
Haya ni yale ambayo hutokea katikati ya mahusiano kwa mfano usaliti ndani ya mahusiano au kupata mtu mwingine tofauti na wewe sasa ujasiri wa kukwambia anakosa ila kupitia matendo yenye mabadiliko kama nawe ni mwelewa lazima utagundua.
Kwenye mahusiano mtu anaweza kuamua kusitisha kulingana na sababu mbili tatu za kwake hasa kuja kugundua kuwa wewe sio yule akutakaye ila ule uwezo wa kukwambia ndio wengi hawana hivyo jiandaye kuona MABADILIKO.
MABADILIKO YALIYOKUWEPO ILA KULINGANA NA MAZINGIRA HUKUYAONA.
Kila tabia ina kichocheo chake ambacho ni mazingira kwa mfano kuna mtu kikawaida anakuona kabisa wewe humfai ila kwa sababu kwa muda huo anajiona hana pakwenda basi anaamua tu kuhusiana na wewe ila siku akipata pakwenda atajifichua yeye halisi.
Kuna watu wanaamua kutengeneza tabia rafiki kwa sababu tu wanatafuta ila wakipata wanarudi Kwenye uhalisia wao.
Kuna watu wanakusukumwa kuja kwako na shida zao binafsi zikiisha tu wanajifunua wao halisi.
UKIONA BADIDILIKO LOLOTE KWENYE MAHUSIANO JUA UMEWASHIWA TAA NYEKUNDU USIPUUZE.
#fikia ndoto zako.