Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Hatuwezi kumuacha kiholela bado tunamhitaji kwenye timu. hakuna beki bora kama Wawa Kwenye ligi yetu. - Try again (Mwenyekiti wa simba)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😳Hatuwezi kumuacha kiholela bado tunamhitaji kwenye timu. hakuna beki bora kama Wawa Kwenye ligi yetu. - Try again (Mwenyekiti wa simba)a
Benki Bora anayeanzia benchi? Tafuteni namna nyingine ya kumpamba.Hatuwezi kumuacha kiholela bado tunamhitaji kwenye timu. hakuna beki bora kama Wawa Kwenye ligi yetu. - Try again (Mwenyekiti wa simba)
Hapo utoh wataanza kumlinganisha wawa na takataka mwamyeto
Tulibwino kai achimwene.... zikuyenda??Makolo mulibwanji
Wawa ni Uchochoro ule ubora wake upo kwenye kunyoa viduku tu waache waendelee kumuamini kisha wampe lawama PabloHatuwezi kumuacha kiholela bado tunamhitaji kwenye timu. hakuna beki bora kama Wawa Kwenye ligi yetu. - Try again (Mwenyekiti wa simba)
Ndiii muche babaaaMakolo mulibwanji
Usipate shida sanaKwani Simba si inacheza NBC Sasa mbona hapati namba? Au mi sijamwelewa Mwenyekiti wa bodi!!