Hakuna biashara pasua kichwa kama biashara ya Bar

Nadhani huujui biashara ya kuuza laini za simu. Kila mtu ana laini, unapenyaje sokoni?
 
mie naonaga bar jengo usikodi liwe lako ,hy bar itadumu
 
Ni biashara ya laana kweli kweli maana kuna watu wanalewa kwa pesa za ada za watoto wao, wengine hata riziki ya msosi wa machaliii wanalewea! Lakini bado unakusanya watoto wa watu wenye makebo waje kukuvutia wateja! Kumbuka mabinti hao nao walizaliwa na wazazi wao walikuwa na positive expectation kwao! Kitu ambacho hata wewe boss haupo tayari binti yako aje kuwa hao unawaowafanya
 
Umeiweka kiroho zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…