Hakuna biashara pasua kichwa kama biashara ya Bar

Hiyo sio bar grocery unafahamu mana ya bar, bar Ina meneja mfanyakazi anaagizaje?
 
Bar Ina pesa wewe ukitaka kufilisika anza kiweka ushirikina ila kama unamtumia akili bar Ina pesa wewe humjui hiyo bizness
 
Dah.... Watu mnakompliketi sana mambo...

Hakuna bisahara rahisi na yenye faida kama ya Bar kama unaijulia...

Tunazungumzia uzoefu hapa...
Nashanhaa wanaongea hata pombe hawanyei Yani kero tupu hivi Kuna bizness inatoa watu mapema kuliko bar matajiri wengi ninao wafahamu wamechomokea kwenye bar hawa wanao toa ushauri hawajui chochote uiisoma mpaka unakereka
 
Hii hata madukani wanafanya
 
Biashara ya bar kila baada ya miezi mitatu badilisha wafanya Kazi (bar maids)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…