Hakuna Bilionea wa Kazi Halali, Formula ya Siri ya Utajiri Ambao Hamuambiwi popote zaidi yangu

Jitahidi naww izo namba Zisome kwako
 
Tesla, Elon Musky kavunja sheria gan
 
Ndo hawa hawa wanaofanya utapeli mitandaon huku wakinywa visungura. Wanaiga idea za kipumbavu pumbavu waanzilishi wake conspiracy theorist
Ni maneno ya kijinga jinga yakuwakatisha vijana tamaa tu
 
Sure... japo wengi watakupinga ! Utajiri ni siri ! Kuna mambo mengi sana yanafanyika gizani !

Note ! Kumiliki kanyumba, kagari na kulipia ada watoto private school huo sio utajiri !!!!!!!
 
Swaga za kijanbazi na ukitaka, umeongea mengi hakuna sehemu umeonesha njia ya mtu kuwa tajiri Bali ume base kutukana tu, huna lolote bro Bora hata wa forex, wanatia moyo ila wewe ni Bure kabisa
 
" BIG MONEY NEVER COME CLEAN "


" Pesa Kubwa Haiji SAFI "
 
Connection ndo changamoto mkuu watu wanatukazia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…