sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
Hasira walizonazo watanzania, wapalestina wanaishi nazo miaka miaka yote. Let’s be realistic.
Kilochofanyika na Hamas sio sahihi lakini kinaelezeka. Tatizo watu wanaendeshwa na chuki ya dini. Kuna mtu humu amekua na hasira mpaka kusema atamtafuta member ambae yuko upande wa palestine.
Hasira kali baada ya video ya Mtanzania kuuwawa na hamas, pole zaidi kwa familia, ameuwawa kikatili.
Humu ndani watu walikua wakishangilia mamia ya watu wakiuliwa gaza. Wale wanaoiuliwa nao wanadugu zao vile vile. Wanapata uchungu zaidi ya huu ambao watz wameupata.
Hakuna binadamu wa udongo
Sasa fikiria wewe ni mpaleatina, bulldozers za wayahudi limekuja likavunja kijiji chote, waliokaidi wakapigwa lisasi hapohapo, mashamba yenu ikafyekwa na mkafukuzwa.
Kisha siku mmepata njia ya kuresist mnakuta watu wanalima maeneo yenu. Na wanaishi mzingira ambayo mmefukuzwa na wengine waliuliwa.
Hasira ambazo watanzania wamezi feel, hayo ndio maisha ya wapalestina, hii haihalalishi mauaji bali inaonesha uhalisia wa mambo.
Hakuna binadamu wa udongo.
Asilimia kubwa humu ndani mngekua mnaishi palestine au mnapitia wanayoyapitia nanyi mgebeba siraha vile vile. Hakuna binadamu wa udogo, wanaouliwa miama yote kule gaza nao ni binadamu kama MOLLEL. Wana ndugu jamaa na marafiki. Na ndio wanaogeuka na kushika siraha.