Hakuna birthday karibu?

Jamani wana jamvi asa mbona sisikii besdei za wana Jamvi tena wakati nikiingia nilikuta watu mnajiandaa kukata keki ya besdei ya Festiledi1

Kulikoni zimekwisha? ama?

Makoo yamekauka yanahitaji kuchangamshwa!

kwani wewe yako lini?
 
Birth day yako ni lini? tuanzie kwako.
 
hayo maneno, mwanzoni mwa machi ipi? tarehe ili tutume card zawadi...........
 
bht, unatupiga changa ni kweli unaijua birthdate yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…