Hakuna cha Bitcoin wala Cryptocurrency!

Muda sio mrefu wale mnao deal na forex mtakufa kufa midomo wazi!
Wanao-deal na forex au cryptocurrency? Hivi ni vitu viwili tofauti.

Anyway, najua Wachina wameanza kuipiga vita cryptocurrency tangia mwishoni mwa mwaka jana na attempt yao ya kwanza ilisababisha Bitcoin kuyumba isivyo kawaida.

Forex haiwezi kufa lakini speed ya sasa ya watu kuwekeza kwenye cryptocurrency, inaweza kuifanya kutupiwa jicho ovu na nchi mbalimbali!
 
Naona hyo bitcon inaombewa mabaya kila kona ya dunia still inadunda tu!!!
 
Bro hebu nipe mwanga kidogo kuhusu forex.....maana naisikiaga juu juu tu
Kuna uzi humu wa forex mkuu pitia pitia utaelewa kiundan..ila ni biashara ya kuuza na kununua fedha
 
Habari,

Bila shaka hakuna mtu asiyefahamu kuhusu cryptocurrencies or at least Bitcoin. for the last two years kumekuwa na excitement kubwa kuhusu kuwekeza katika sekta hii, na mwaka huu ulianza vizuri kwa baadhi ya coins kama Ripple, Bitcoin, Stellar, Ethereum na nyinginezo. Ripple in particular ilipanda kwa kasi sana hadi kufika almost $3 from $1 (katika wiki mbili za mwanzo), hii ilionekana ni fursa kubwa kwa watu wengi ukizingatia ya kwamba Ripple tofauti na coins nyingine nyingi hiko centralized na inashirikiana na bank, binafsi nilinunua Ripple kiasi na kutrade kwenye currency exchanges za Japan,.


Tangia wiki hii ianze kumekuwa na anguko kubwa la Ripple na karibia coins nyingine nyingi, katika kufatilia inaonekana ya kwamba China inafanya kwa kile walichokiita "an ordely exit', in principle China is shutting down all the mining Rigs. Now i am not a financial expert nor do i claim to be one but i can bet this move has potential repercussion in the market. is this the bubble we have all been waiting for?, you tell me. Watch your hard earned cash and trade responsibly.

"Steer clear of Crypto....bih crash incoming,,,possibly 90% of value to be wiped out in the next month, ouch damn Chinese government" - mail quote from a trusted trader i know.

Nimeshindwa kufanya transaction kwa siku ya leo na Monero, probably because of a huge number of requests to exit the trades. View attachment 677002 View attachment 677003
View attachment 677005 View attachment 677006
Chinese Bitcoin miners forced to shutdown
China wants an "orderly exit' from Bitcoin mining
Cryptocurrencies have crashed 20% in two days
 
This is what a friend sent to me this morning: "btc should break 10,000 anytime soon. If it closes below 10k, then it should head for 8k, and test 5k. If it closes below 5k, it should head towards $1800.Then it becomes a massive buying opportunity for institutional investors worlwide. At that point it would need to break $20,000 to the upside and reach $50k or more by year end. However, we should see short term rallies to the upside as it trends downwards. A critical buying area of fair value is around $8k. If it holds steady there, it may shape to the upside without testing lower levels. Start crypto buying through dollar cost averaging when btc breaks $10k. then create a diversified portfolio of crypto assets with a buy and hold for 3 to 5 years before exits. The scammers will soon be dead and the real cowboys with skin in the game are about to squash those mosquitos. Remember, according to the world economic forum, the blockchain economy is worth $8trillion by 2027."
ONYO: i am not a broker or official adviser and my writing is not an advice on how to work with forex or cryptocurrency. Anyone who invests on this needs to understand that this is a high risk market and environment and do it on his/her own. I am not liable for any investment based on what I wrote here.
 
Id mbili mwandiko unafanana sana inawezekana ni mapacha nyinyi wa post ya 1na ya 3. Lakini ujumbe wenu utakuwa umewafikia walengwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…