Bingwa wa kugegedwa na waarabuYANGA_BINGWA
Waungwana kutokana Na hili suala kugonga vichwa vya habari kila uchwao, nimejaribu kuingia kwenye vpl website, nimegundua mechi inayolalamikiwa ya Kagera vs A.Lyon ilichezwa tarehe 18.01.2017. Na lilikuwa ni round 21. Kagera kacheza Na Simba tarehe 2.4.2017 ikiwa ni round ya 25. Gap kati ya michezo hiyo miwili, ni takribani 4. Maana take Kagera alicheza mechi 4 baada ya mchezo lalamikiwa kabla ya ya kucheza Na Simba. Sasa wajuvi wa haya mambo naomba mniweke wazi, mbona timu halizocheza nazo Kagera sugar kabla ya Simba hazikugundua hili suala? Na kwa nini Simba waliocheza Na Kagera baada ya mechi takribani tano wawe Na haki ya kukata rufaa, wakati mechi zilishachezwa zaidi ya 3? Tafadhari naomba kueleweshwa.Nashangaa baadhi ya watu kuanza kuingiza mambo ya ukabila kwenye hili suala la Kagera Sugar,hakuna haja acha sheria ifanye kazi yake, mwenye haki apewe haki yake.
Kama Mwamamuzi anasema FHAKI,hakua na kadi ya Njano Hawa Simba hii kadi yao ya tatu wameitoa wapi?kwanini mchezo huo ulikua na utata sana Mara Azam tv hawakuonyesha hiyo game kama kuna mipango ilifanyika vile.
Ninachoamini Haki ya mtu haipotei Kama Kagera Sugar wanastahili kupata pointi zao watapata na Kama Simba wana haki ya kupata hizo pointi watapata ila Sio kuanza Kuingiza mambo ya Ukabila na vitu vingine ambayo havina Msingi.
Hizi mechi 4 kama huyo mchezaji alicheza timu husika zikate rufaa na kujichotea point za bure tuu kagera yaweza kushuka darajaWaungwana kutokana Na hili suala kugonga vichwa vya habari kila uchwao, nimejaribu kuingia kwenye vpl website, nimegundua mechi inayolalamikiwa ya Kagera vs A.Lyon ilichezwa tarehe 18.01.2017. Na lilikuwa ni round 21. Kagera kacheza Na Simba tarehe 2.4.2017 ikiwa ni round ya 25. Gap kati ya michezo hiyo miwili, ni takribani 4. Maana take Kagera alicheza mechi 4 baada ya mchezo lalamikiwa kabla ya ya kucheza Na Simba. Sasa wajuvi wa haya mambo naomba mniweke wazi, mbona timu halizocheza nazo Kagera sugar kabla ya Simba hazikugundua hili suala? Na kwa nini Simba waliocheza Na Kagera baada ya mechi takribani tano wawe Na haki ya kukata rufaa, wakati mechi zilishachezwa zaidi ya 3? Tafadhari naomba kueleweshwa.
Maandamano ScBingwa wa kugegedwa na waarabu
Mbumbumbu FC... Mapovu ya nini ndg yangu.... Mchezo huu hautaki hasira... Mnalilia points ambazo hamkushinda,. C utoto huo sasa... Mjipange upya, rudini mchangani.Bingwa wa kugegedwa na waarabu
Ndio maana wahuni wameku-kill una kihere here sanaYANGA_BINGWA_2016/2017
Waungwana kutokana Na hili suala kugonga vichwa vya habari kila uchwao, nimejaribu kuingia kwenye vpl website, nimegundua mechi inayolalamikiwa ya Kagera vs A.Lyon ilichezwa tarehe 18.01.2017. Na lilikuwa ni round 21. Kagera kacheza Na Simba tarehe 2.4.2017 ikiwa ni round ya 25. Gap kati ya michezo hiyo miwili, ni takribani 4. Maana take Kagera alicheza mechi 4 baada ya mchezo lalamikiwa kabla ya ya kucheza Na Simba. Sasa wajuvi wa haya mambo naomba mniweke wazi, mbona timu halizocheza nazo Kagera sugar kabla ya Simba hazikugundua hili suala? Na kwa nini Simba waliocheza Na Kagera baada ya mechi takribani tano wawe Na haki ya kukata rufaa, wakati mechi zilishachezwa zaidi ya 3? Tafadhari naomba kueleweshwa.
Unataka kusema hata Kagera hawajui kama Fakhi alikuwa na kadi 3 za njano?ipo hiv, kuna mjumbe wa kamati ya ligi kuu alikuwa anajua kuwa fakhi ana kadi 3 z Njano, alikuwa amekaa kimya tu hata hakujishughulisha kawapa taharifa kagera sugar wala wajumbe wengine wa tff. baada ya simba kufungwa akachukua faili akampa Kaburu kwa njia ya panya. Ndio maana timu nyingine zilikuwa hazijui. ila simba angeshinda hiyo issue wala msingejua.
Mfano wako kidogo hauingiliano na issue hii.Hebu tufanye Hugo mchezaji ni mwizi kawaibia watu zaidi ya 5 hakukamatwa alipokuibua wewe umemkamata unataka kusema Kwa kuwa hakukamatwa Kwa wale watano hata wewe wa sita usimkamate?