Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Baada ya makamanda kunishambulia sana nilipoleta uzi wa uzuri wa stand ya makao makuu ya nchi, nilijiuliza kwanini wanakuwa wabishi ndipo nilipoanza kuchunguza jengo la makao makuu yao pale mtaa wa ufipa, bila chembe ya unafiki nampongeza sana Mh Mbowe kwa jitihada hizi maana jengo ni classic ile mbaya yaani full ac , nimeambiwa ramani yake ilitokea Ubelgiji na wasanifu walitoka Ujerumani.
Nawakumbusha kuwa kodi ya miezi 6 iliyopita ni muhimu mkaikabidhi kwa mmiliki, naamini mmefurahia sana, karibuni kwa maoni.
Nawakumbusha kuwa kodi ya miezi 6 iliyopita ni muhimu mkaikabidhi kwa mmiliki, naamini mmefurahia sana, karibuni kwa maoni.