Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Hii nayo mnabisha makamanda?Sawa inakuhusu nini
Viroba bana๐๐๐๐ eti wakichukua nchi, unazungumzia nchi ya ufipa au nchi gani?Naishauri chadema siku wakichukua nchi wa taifishe, Mali zote za ccm walizo waibia wananchi na kujimilikisha, Kama maredio, viwanja vya michezo, majengo ya biashara,
Kama baba wa taifa alivyo taifasha Mali za wahindi.
Unateseka?Polepole akikulipa kwa ujinga ulioandika hapo basi nitaamni huko mboga mboga wamejaa vilaza watupu
Sio laoWalirekebishe aisee