Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mahesabu ya kisiasa yanaonyesha wale wabunge wa mchongo, viti maalum kupitia CHADEMA maarufu kama Covid 19 wamebakisha wiki chache sana za kuendelea kuwepo bungeni, wengi kama sio wote wameshakata tamaa ya kutoweza kurejea tena bungeni.
Wachache wao wameshaanza kuaga na wengine bado hawajaamini kama zama za kuendelea kutafuna kodi za watanzania kwa kugonga meza tu zimefikia tamati kwao.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Haijarishi watataka kung'ang'ania kubakia Chadema ambako walisjafukuzwa, watakimbilia CCM au watahamia ACT huko kote hakuna mlango wala dirisha lolote lililo wazi kuweza kuwarejesha bungeni sasa, hapo baadaye au hata milele.
Hakuna namna condom iliyokwisha kutumika kwenye umalaya ikatafutwa ili kutumika tena!