Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Wakuu wa nchi , Natumai mnaendeleaje vizuri na miangaiko yenu poa .Napenda kuchukua Muda wangu wa kuwajulisheni hamna Dawa ya KUPONYESHA kisukari full stop.
Watu wengi sana wametapeliwa kwa kulishwa madebe ya unga wa mitishamba bila ya kupona na wengine wameacha dawa zao za hospitalini kwa kudanganywa na hao matapeli wanaosema wanatibu kisukari type 2, wengine tumewapoteza na wengine hali zao mbaya.
Ushaurii wangu ni huu ndugu zangu fuata maelekezo ya Dr, fanya mazoezi ,USIACHE KUTUMIA DAWA ZAKO ZA HOSPITALINI AMBAZO NI METROFORMIN AU SINDANO ZA INSULIN .
NA HAKUNA MTU YEYOTE ALISHAWAHI KUPONA KISUKARI TYPE 2 KABISA KWANI DR WANASEMA HAKUNA DAWA ZA KUPONYESHA KISUKARI ILA UNAWEZA KUKICONTROL ,NA UKAISHI MAISHA YA KAWAIDA .
EPUKA VYAKULA VYENYE WANGA MWINGI ,BEER IONE KAMA PALE MOTUARY ,HAVE A GOOD DAY ,AND GOD BLESS YOU .