Mkubwa mwaga kila kitu hapa itasaidia wenginjoo pm
POA NGOJA NIANDAE THREAD YANGU YA USHUUDA YA KUPONA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUMEMkubwa mwaga kila kitu hapa itasaidia wengi
Mkuu huyo ndugu yako mwambie ajitahidi kufuata yafuatayo mambo yatakuwa safi
1.Aache kabisa kupiga punyeto
2.Apate lishe bora ya vyakula vya asili
3.Ajitahidi kula mchanganyiko wa matunda kwa wingi
4.Anye maji mengi kila siku
5.Afanye mazoezi
Pamoja sana mkuu nimesha editHapo kwenye red tafadhali sio kwa ubaya narekebisha tuu, ni Anywe!!!
Iko wapiPOA NGOJA NIANDAE THREAD YANGU YA USHUUDA YA KUPONA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Habari wana taaluma,
Heri ya mwaka mpya.
Kuna ndugu yangu ana tatizo ambalo ameshughulika nalo kupitia tiba mbadala lakini mafanikio bado.
Ni kwamba hapati hamu ya kufanya tendo la ndoa, ingawaje uume una weza kudinda vizuri.
Tiba mbadala walimpima na vipimo vyao wakamwambia tatizo ni hormone iitwayo testrosterone (kama sijakosea) ambayo iko chini. Amepewa dawa dose mara tatu, lakini tatizo liko palepale.
Nauliza kwamba, kama ni kweli tatizo ndio hilo, je, hakuna dawa za hospital zinazoweza kutibu tatizo hilo?
Asante mkuu kwa ushauri,Mkuu huyo ndugu yako mwambie ajitahidi kufuata yafuatayo mambo yatakuwa safi
1.Aache kabisa kupiga punyeto
2.Apate lishe bora ya vyakula vya asili
3.Ajitahidi kula mchanganyiko wa matunda kwa wingi
4.Anywe maji mengi kila siku
5.Afanye mazoezi
Asante mkuu,,Katika bodybuilding hua testosterone inahitajika sana hivyo kuna vyakula hua vinachochea uzalishwaji wake ambavyo hua vinatumika sana.
Mfano vyakula vyote kutokea baharini pweza, samaki, papa na supu zake.
Mbegu za maboga, mboga nyingi za majani.
Ila kwenye bodybuilding hua wanatumia supplement ya kuongezea testosterone ninayoijua inaitwa vitrix.